LILIAN ALFONSE TV
TubeHealth is an independent service and is not affiliated with or endorsed by YouTube or Google.
Data displayed on this page is retrieved via YouTube API Services.
Updated:
LILIAN ALFONSE TV Channel Description Snapshot
Channel Description
Karibu kwenye channel ya LILIAN ALFONSE TV! 🇹🇿 🇹🇷
Hapa tunajifunza, tunafurahi, na kusafiri pamoja. Kwa sasa ninaishi nchini Uturuki katika mji mzuri wa Samsun. Kwenye channel hii utapata:
Maisha ya Samsun, Uturuki: Safari zangu kando ya Bahari Nyeusi (Black Sea), maisha ya kila siku ughaibuni, na mitaa ya Samsun.
Vlog za Tanzania: Maisha ya kijijini, utamaduni wa Kichagga, na uzuri wa nyumbani Tanzania.
Daily Lifestyle & Travel: Simulizi za kusafiri, chakula, na mambo ya kijamii.
Nia yangu ni kukuonyesha dunia kupitia macho yangu. Usisahau KUSUBSCRIBE na kugusa kengele ili usipitwe na video yoyote!
Welcome to LILIAN ALFONSE TV! 🌍
Based in Samsun, Turkey, I share my journey as a Tanzanian living abroad. Join me as I explore the Black Sea region and share nostalgic vlogs from my home country, Tanzania.
Subscribe now and let's explore the world together!

About This Page
Methodology: This page displays a snapshot of publicly available creator information retrieved via YouTube API Services.
Snapshot
Snapshot Date:
Data Source: Public data retrieved via YouTube API Services
Data is refreshed at least once every 30 days.