WINNIPEG SWAHILI TV

TubeHealth is an independent service and is not affiliated with or endorsed by YouTube or Google. Data displayed on this page is retrieved via YouTube API Services.
Updated:

WINNIPEG SWAHILI TV Channel Description Snapshot

Channel Description

WINNIPEG SWAHILI TV KUTOKA MANITOBA CANADA KAZI YETU NI MOJA TU , KUKU HABARISHA NA KUKUPA HABARI ZOTE KUTOKA CORNERS ZOTE ZA DUNIA,ZIWE HABARI ZA KIMICHEZO AMA ZAKISIASA NA HABARI ZOTE ZA KIJAMII SISI KAZI YETU NIKUZIFIKISHA KWAKO PIA MIJADALA MBALIMBALI NA MAHOJIANO YA KIJAMII YOTE YANAPATIKANA HAPA PIA BILA KUSAHAU NENO LA MUNGU NA MENGINE MENGI YANAPATIKANA HAPA WINNIPEG SWAHILI TV HII NDIO CHANNEL BORA NA CHANNEL PENDWA NA CHAGUO LA WATU WOTE WANAO PENDA HABARI ZAKIJAMII KUTOKA CORNERS ZOTE INNE ZA DUNIA WINNIPEG SWAHILI TV KWA PAMOJA KARIBU TUKUPASHE ,KARIBU WINNIPEG SWAHILI TV NA PIA UNARUHUSIWA KU COMMENT CHOCHOTE BAADA YAKUFATILIA MAZUNGUMZO YETU AMA MIJADALA NA HABARI MBALI MBALI KUTOKA HAPA WINNIPEG SWAHILI TV. PATA ELIMU ONGEZA MAARIFA NA UBUNIFU MBALIMBALI KUTOKA HAPA WINNIPEG SWAHILI KUNA MENGI YAKUKUJUZA HAKIKA WINNIPEG SWAHILI TV NI CHAGUO LA WOTE
Karibuni nyote

About This Page

Methodology: This page displays a snapshot of publicly available creator information retrieved via YouTube API Services.

Snapshot

Snapshot Date:
Data Source: Public data retrieved via YouTube API Services
Data is refreshed at least once every 30 days.