Swahili Media Network

TubeHealth is an independent service and is not affiliated with or endorsed by YouTube or Google. Data displayed on this page is retrieved via YouTube API Services.
Updated:

Swahili Media Network Channel Description Snapshot

Channel Description

SMN ni channel ambayo huwa inatoa mafunzo na kuzungumzia mbalimbali ya kijamii, teknolojia, michezo na burudani kwa kutumia lugha ya kiswahili na kingereza. Makao makuu ya SMN yapo katika jiji la Leicester nchini Uingereza. SMN inahakikisha huduma zake zinawafikia watu mbalimbali popote pale duniani.

SMN hupokea ushauri, mawazo na hata mada za vipndi vyake kutoka kwa wadau wake wote bila kujali rangi, kabila, dini wala jinsia. Tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia namba ya simu +44 7565512058

Pia tunapatikana kwenye mitandao ya jamii ifuatayo:

https://www.facebook.com/Swahilimedianetwork

https://instagram.com/swahili_media_network?igshid=ZDc4ODBmNjlmNQ==

https//tiktok.com/@smnetwork_

https://twitter.com/SwahiliMediaNet

Ushirika wenu ndio maendeleo ya jamii zetu

About This Page

Methodology: This page displays a snapshot of publicly available creator information retrieved via YouTube API Services.

Snapshot

Snapshot Date:
Data Source: Public data retrieved via YouTube API Services
Data is refreshed at least once every 30 days.