Swahili Computer

TubeHealth is an independent service and is not affiliated with or endorsed by YouTube or Google. Data displayed on this page is retrieved via YouTube API Services.
Updated:

Swahili Computer Channel Description Snapshot

Channel Description

Channel hii inatoa Mafuzo ya computer kwa lugha ya kiswhili kwa watu wote.
Haijalishi elimu walio nayo computer imeundwa kutumiwa na kila mtu kurahishisha kazi na kukuongezea ubora wa kazi unayo ifanya. Tunafundisha misingi ya computer (computer Basics), Application (program) za Offisini kama Microsoft Word, Microsoft Excel, Microsoft Power Point... nk. Pia tunatoa mafuzo ya Graphi Design, Networking, Kuedit Picha na Machapisho, kutatua changamoto za Computer, Programing, Website, kupiga Window.. nakazalika,

kujua zaidi unaweza kunagalia video hii apa: https://youtu.be/lHpFF6WeFso

tupo kwenye Mitandao ya kijamii pia:
Facebook: https://web.facebook.com/SwahiliPC
whatsapp: https://chat.whatsapp.com/LjRNgrked7s4LSpbcGiu6H

mitandao mingine tutajiunga na kuweka liknk zake kwa badae..kwenye Description...
Kumbuka ku-Subscribe, ku-like na ku-share video zetu kutusupport ASANTEE..

About This Page

Methodology: This page displays a snapshot of publicly available creator information retrieved via YouTube API Services.

Snapshot

Snapshot Date:
Data Source: Public data retrieved via YouTube API Services
Data is refreshed at least once every 30 days.