Swahili Digital
TubeHealth is an independent service and is not affiliated with or endorsed by YouTube or Google.
Data displayed on this page is retrieved via YouTube API Services.
Updated:
Swahili Digital Channel Description Snapshot
Channel Description
KANUNI NA MUONGOZO
Swahili Digital ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na Maadili yanayoongoza Tasnia ya Habari. Tumejikita katika kuripoti Matukio ya Siasa,Burudani Michezo na masuala ya Kijamii. Tunazingatia Misingi ya Uhariri katika Habari kwa kufuata yafuatayo:
1. Kuripoti habari za ukweli
2. Kusaidia kurekebisha Taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu
3. Kufuata misingi ya Habari kwa kuripoti Habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
4. Kujiepusha na Udini, ukabila kufungamana na Chama chochote cha Siasa au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi
Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu
1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
2. Swahili Digital ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali
3. Swahili Digital ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote
4. Swahili Digital ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

About This Page
Methodology: This page displays a snapshot of publicly available creator information retrieved via YouTube API Services.
Snapshot
Snapshot Date:
Data Source: Public data retrieved via YouTube API Services
Data is refreshed at least once every 30 days.